Ayiola lyrics by Harmonize with meaning. Ayiola explained, official 2025 song lyrics | LyricsMode.com
Request & respond explanations
  • Don't understand the meaning of the song?
  • Highlight lyrics and request an explanation.
  • Click on highlighted lyrics to explain.
Harmonize – Ayiola lyrics
Nilifundishwa na Bibi kijijini jinsi ya kupenda
Na mwanamke hapigwi
Na ngumi ila upande wa kanga

Tena mapenzi sio league
Nikakubali kushindwa
Mi sikufunzwa graji
Tushindane risasi kwa panga

Mbona niliku thamini
Mengi nikakusevia
Sitosema hadharani wengi wakayasikia
Sio wakunipanda kichwani
Hukumbuki tuliko tokea
Na kunishusha thamani
Kipi nilicho kosea

Ingawa kidogo nlichopata
Nkajinyima uridhike
Ila hukujali ukanikatili moyoooo!
Majirani walinicheka ulipo ni force nipikee
Aaaahh! Sio siri ilinivunja moyoo

Kisirani ugomvi bila chanzo
Ni ukweli uko moyoni
Sina budi nilivue pendo
Ingawa Kishingo upande
Aiyoo aiyola eeeh!
Sito force unipende
OoohKishingo upande
Aiyoo aiyola eeeh!
Basi bora uendee

Sitosema mapenzi basi nimeumbwa na moyo
Moyo wenye matamanio na unapenda pia
Ila nitaijutia nafsi nilikufanya chaguo
Aaah! Chaguo la moyo kumbe ulipita njiaa

Nilivo wanyima ndugu
Visiri nikakutunzia
Usijee leta vurugu akili ukaitibuaa
Najuta Kujitia bubuu
Sitaki vya kusikia
Kisa pendo unisurubu
Mengi nishafumbia

Mbona niliku thamini
Mengi nikakusevia
Sitosema hadharani wengi wakayasikia
Sio wakunipanda kichwani
Hukumbuki tuliko tokea
Na kunishusha thamani
Kipi nilicho kosea

Kisirani ugomvi bila chanzo
Ni ukweli uko moyoni
Sina budi nilivue pendo
Ingawa Kishingo upande
Aiyoo aiyola eeeh!
Sito force unipende
Oooh baki Kishingo upande
Aiyoo aiyola eeeh!
Basi bora uendee

Kishingo upande kishingo upande
Aaaah
Na maximize oooh am nice baibe, am nice baibe
×

Nilifundishwa na Bibi kijijini jinsi ya kupenda Na mwanamke hapigwi Na ngumi ila upande wa kanga Tena mapenzi sio league Nikakubali kushindwa Mi sikufunzwa graji Tushindane risasi kwa panga Mbona niliku thamini Mengi nikakusevia Sitosema hadharani wengi wakayasikia Sio wakunipanda kichwani Hukumbuki tuliko tokea Na kunishusha thamani Kipi nilicho kosea Ingawa kidogo nlichopata Nkajinyima uridhike Ila hukujali ukanikatili moyoooo! Majirani walinicheka ulipo ni force nipikee Aaaahh! Sio siri ilinivunja moyoo Kisirani ugomvi bila chanzo Ni ukweli uko moyoni Sina budi nilivue pendo Ingawa Kishingo upande Aiyoo aiyola eeeh! Sito force unipende OoohKishingo upande Aiyoo aiyola eeeh! Basi bora uendee Sitosema mapenzi basi nimeumbwa na moyo Moyo wenye matamanio na unapenda pia Ila nitaijutia nafsi nilikufanya chaguo Aaah! Chaguo la moyo kumbe ulipita njiaa Nilivo wanyima ndugu Visiri nikakutunzia Usijee leta vurugu akili ukaitibuaa Najuta Kujitia bubuu Sitaki vya kusikia Kisa pendo unisurubu Mengi nishafumbia Mbona niliku thamini Mengi nikakusevia Sitosema hadharani wengi wakayasikia Sio wakunipanda kichwani Hukumbuki tuliko tokea Na kunishusha thamani Kipi nilicho kosea Kisirani ugomvi bila chanzo Ni ukweli uko moyoni Sina budi nilivue pendo Ingawa Kishingo upande Aiyoo aiyola eeeh! Sito force unipende Oooh baki Kishingo upande Aiyoo aiyola eeeh! Basi bora uendee Kishingo upande kishingo upande Aaaah Na maximize oooh am nice baibe, am nice baibe Explain Request ×



Lyrics taken from /lyrics/h/harmonize/ayiola.html

  • Email
  • Correct
0

Ayiola meanings

Write about your feelings and thoughts about Ayiola

Know what this song is about? Does it mean anything special hidden between the lines to you? Share your meaning with community, make it interesting and valuable. Make sure you've read our simple tips.
U
Min 50 words
Not bad
Good
Awesome!

Post meanings

U
Min 50 words
Not bad
Good
Awesome!

official video

Harmonize - Aiyola ( Official Video )

Featured lyrics

0-9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z